Radio Tambua

KISWAHILI SPECIAL: Je, Yesu Alimaanisha Nini katika Yohana 8:28? (Sehemu ya 1)

December 18, 2020 ACFAR team (Innocent Kamanzi) Season 1
Radio Tambua
KISWAHILI SPECIAL: Je, Yesu Alimaanisha Nini katika Yohana 8:28? (Sehemu ya 1)
Show Notes

Unaweza kuwa unashangaa ukisema “Je! Si kila mtu anajua kile amabacho Yesu alimaanisha?" Kwa kweli unapoangalia maandiko, unaona kuwa kama yalivyo wazi kuhusu kile Yesu alicho kisema. Alakini sio kawaida kuwa wazi, kuhusu kile Yesu alicho kimaanisha kulingana na kile alicho kisema. Katika sehemu ya kwa ya ujumbe wake, Hahirwa Kamanzi Innocent anafafanua Yohana 8:28.

You may be wondering when you say “Doesn't everyone know what Jesus meant?" In fact, when you look at the scriptures, you see that they are very clear about what Jesus said. But it is not always clear what Jesus meant according to what He said. Hahirwa Kamanzi Innocent explains John 8:28.